Psalms 91:15

15 aAtaniita, nami nitamjibu;
nitakuwa pamoja naye katika taabu,
nitamwokoa na kumheshimu.
Copyright information for SwhNEN